The following text field will produce suggestions that follow it as you type.

Barnes and Noble

Mapenzi Bora

Current price: $16.50
Mapenzi Bora
Mapenzi Bora

Barnes and Noble

Mapenzi Bora

Current price: $16.50

Size: OS

Loading Inventory...
CartBuy Online
*Product information may vary - to confirm product availability, pricing, shipping and return information please contact Barnes and Noble
Kwa zaidi ya miaka na tano vitabu vya mwandishi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati, Marehemu Sheikh Shaaban Robert, havikupatikana Tanzania. Sababu ya kukosekana kwa vitabu hivyo ni kuwa kampuni ya kigeni iliyovichapisha iliamua kuacha kuvichapisha kwa sababu haikulipwa kwa fedha za kegini jamo, lililosabishwa na hali mbaya ya uchumi. Athari za kupotea kwa vitabut vya Sheikh Shaaban Robert katika miaka hiyo ni kwamba Watanzania wengi hasa wale wenye umri chini ya miaka thelathini, kawamjui mwandishi kuyu maarufu na hawakulelewa katika mazingira ya utajiri wa maandishi yake abayo bila shaka yoyote ni mfano pekee wa utajiri wa uridhi wa utamaduni wetu. Kwa kuvichiapisha vitabu vya Marehemeu Sheikh Shaaban Robert tunawakaribisha tena Watanzania, hasa vijana kuvisoma, kuburudishwa na kufunzwa na yale aliyoyaandika kwa sanaa na kipaji adimu. Poems from Shaaban Robert with translated title .

More About Barnes and Noble at The Summit

With an excellent depth of book selection, competitive discounting of bestsellers, and comfortable settings, Barnes & Noble is an excellent place to browse for your next book.

Powered by Adeptmind